NHIF TANGA WATUMIA MAONYESHO YA BIASHARA NA UTALII YATOA ELIMU KWA WANANCHI KUHUSU CHF ILIYOBORESHWA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

NHIF TANGA WATUMIA MAONYESHO YA BIASHARA NA UTALII YATOA ELIMU KWA WANANCHI KUHUSU CHF ILIYOBORESHWA

 Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii .Constantine Kanyasu kushoto akimsikiliza kwa umakini Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally Mwakababu wakati alipotembelea alipokwenda kufunga  maonyesho ya saba ya biashara ya kimataifa yaliyokuwa yakiendelea kwenye viwanja vya Mwahako Jijini Tanga Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii .Constantine Kanyasu kushoto akimsikiliza kwa umakini Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally Mwakababu wakati alipotembelea alipokwenda kufunga  maonyesho ya saba ya biashara ya kimataifa yaliyokuwa yakiendelea kwenye viwanja vya Mwahako Jijini Tanga  Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii .Constantine Kanyasu kulia akipima uzito kwenye banda la Mfuko wa Taifa wa Bima Afya mkoani Tanga (NHIF) mara baada ya kulitembelea MENEJA wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally Mwakababu kushoto akitoa elimu juu ya CHF iliyoboreshwa mkazi wa Tabata Jijini Dar es Salaam ambaye alitembelea banda lao Devutia... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More