NI AZAM FC MABINGWA TENA KOMBE LA KAGAME, WAIPIGA SIMBA 2-1 TAIFA - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

NI AZAM FC MABINGWA TENA KOMBE LA KAGAME, WAIPIGA SIMBA 2-1 TAIFA

Beki na Nahodha Aggrey Morris akikimbia kishujaa kushangilia baada ya kuifungia Azam FC bao la pili na la ushindi dakika ya 80 ikiilaza Simba Sc 2-1 katika fainali ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame jioni hii Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam.  
Mfungaji wa bao la kwanza la Azam FC dakika ya 33, Shaaban Iddi Chilunda (kushoto) akijivuta kupiga shuti pembeni ya kiungo Mghana wa Simba, Jamed Kotei 
Mfungaji wa bao la Simba SC dakika ya 62, mshambuliaji Mnyarwanda mwenye asili ya Uganda, Meddie Kagere akimtoka beki Mzimbabwe wa Azam FC, Bruce Kangwa ... Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More