NI CROATIA NA UFARANSA FAINALI KOMBE LA DUNIA 2018 URUSI - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

NI CROATIA NA UFARANSA FAINALI KOMBE LA DUNIA 2018 URUSI

Mario Mandzukic akikimbia kushangilia kishujaa baada ya kuifungia Croatia bao la ushindi dakika ya 109 ikitoka nyuma na kushinda 2-1 katika Nusu Fainali ya Kombe la Dunia usiku wa Jumatano Uwanja wa Luzhniki mjini Moscow, Urusi. England ilitangulia kwa bao la Kieran Trippier dakika ya tano, kabla ya Ivan Perisic kuisawazishia Croatia dakika ya 68. Croatia sasa itakutana na Ufaransa Jumapili Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More