NI JUKUMU LA WAZAZI KUSIMAMIA MAADILI YA VIJANA CHANZO CHA MMOMONYOKO WA MAADILI UNAANZIA KWENYE VITONGOJI NA MITAA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

NI JUKUMU LA WAZAZI KUSIMAMIA MAADILI YA VIJANA CHANZO CHA MMOMONYOKO WA MAADILI UNAANZIA KWENYE VITONGOJI NA MITAA

NA ELISA SHUNDA,KIBAHAKONGAMANO la Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Kibaha Iimetoka na Azimio la Pamoja la Wazazi katika Jamii Husika Kuhakikisha Inasimamia Maadili ya Vijana kwa Kuwa Chanzo cha Mmomonyoko wa Maadili Unaanzia kwenye vitongoji na mitaa ambako familia zao ndipo zinapoishi.
Maadili ni Mjumuisho wa Tabia Watu Zinazokubalika Mahali Fulani au Katika Jamii Fulani au Jumuiya Fulani au Nchi, Mjumuisho wa Tabia za Watu Unatokana na Kujumuisha Tabiaza Mtu mmoja Mmoja Tabia Hizi Ndizo Zinatufikisha Kule Tunapokuthamini.
Akizungumza baada ya kumalizika kwa Kongamano hilo, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Kibaha Mjini,Edwin Shunda,alisema kuwa kwa mjumuisho wa kongamano hilo lililoshirikisha wadau mbalimbali kutoka taasisi mbalimbali,wananchi na wanachama wa CCM imeazimia kwa pamoja kuwa mmomonyoko wa vijana katika maadili yao inatokana na malezi ya wazazi lakini pia katika mitaa na vitongoji ambavyo vijana hao wanatokea hakuna malezi ya pamoja ya wazazi kwa vijan... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More