NI MSIBA WA KITAIFA, VILIO VYATAWALA WAKATI WA MAZIKO YA WATU WALIOPOTEZA MAISHA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

NI MSIBA WA KITAIFA, VILIO VYATAWALA WAKATI WA MAZIKO YA WATU WALIOPOTEZA MAISHA

*Serikali yaamua kutoa Sh.500,000 kwa kila mfiwa kusaidia mazishi,  Waziri Mkuu aongoza maziko ya pamoja
Na Said Mwishehe,Globu ya jamii
NYUSO za majonzi,simanzi na huzuni ndizo zimetawala wakati wa mazishi ya pamoja ya makaburi ya watu tisa kati ya miili 224 ambayo imepatikana baada ya kivuko cha MV.Nyerere kupinduka.
Wakati wa maziko hayo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameongoza Watanzania katika mazishi hayo ambapo pamoja na kutoa pole amesema hatua zaidi zitaendelea kuchukuliwa kwa maofisa na watendaji ambao kwa namna moja au nyingine ni chanzo cha kutokea kwa tukio la kuzama kwa kivuko hicho.
Amesema tayari baadhi ya maofisa wanaohusika na kivuko hicho wamekamatwa na kwamba uchunguzi utaanza mara baada kuundwa kwa chombo cha kuchunguza huku akieleza majina ya watu ambao wamefariki majina yao yatandikwa sehemu moja.Akizungumza kabla ya kupuumzisha miili hiyo leo katika eneo la Ukara wilayani Ukerewe mkoani Mwanza ,Waziri Mkuu amesema ni msiba mzito na uliojaa majonzi kwa Taifa.
Amesema ni... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More