NI SIMBA SC WASHINDI WA NGAO YA JAMII TENA, WAICHAPA MTIBWA SUGAR 2-1 KIRUMBA - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

NI SIMBA SC WASHINDI WA NGAO YA JAMII TENA, WAICHAPA MTIBWA SUGAR 2-1 KIRUMBA

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
SIMBA SC wamefanikiwa kutwaa Ngao ya Jamii kwa mara ya pili mfululizo baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mtibwa Sugar Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza.
Hiyo inakuwa mara ya nne kwa SImba SC kutwaa Ngao ya Jamii, baada ya 2011 wakiifunga Yanga 2-0, 2012 wakiifunga Azam FC 3-2 na mwaka jana wakiwafunga tena mahasimu wao wa jadi, kwa penalti 5-4 baada ya sare ya 0-0.
Katika mchezo huo uliochezeshwa na refa bora wa Ligi Kuu msimu uliopita, Elly Sasii aliyesaidiwa na Hellen Mduma wote wa Dar es Salaam, na Ferdinand Chacha wa Mwanza, hadi mapumziko Simba SC walikuwa mbele kwa mabao 2-1.

Hassan Dilunga akinyoosha mikono kuwaomba radhi Mtibwa Sugar baada ya kufunga bao la ushindi leo CCM Kirumba

Mshambuliaji Mnyarwanda mwenye asili ya Uganda, Meddie Kagere alianza kuifungia Simba SC dakika ya 29 kwa shuti kali kutokea pembezoni mwa Uwanja kushoto, baada ya kuwatoka mabeki wa Mtibwa Sugar na kipa wao, Benedictor Tinocco kufuatia kazi nzuri ya Hassan Dilunga.
Kel... Continue reading ->Source: Bin ZuberyRead More