Ni usiku wa wababe Ulaya - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ni usiku wa wababe Ulaya

HAYA walete walete. Ule usiku wa Ligi ya Mabingwa Ulaya ndo usharudi hivyo, huku macho ya wengi na masikio yakielekezwa huko Old Trafford leo Jumanne pale Manchester United itakapokuwa wenyeji wa mabingwa wa Ufaransa, Paris Saint-Germain.


Source: MwanaspotiRead More