Ni Vita ya mafundi Maurcio Pochettino vs Jurgen Klopp, Kane vs Salah, moto unaendelea kuwaka DSTV - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ni Vita ya mafundi Maurcio Pochettino vs Jurgen Klopp, Kane vs Salah, moto unaendelea kuwaka DSTV

Baada ya UEFA Nations League, hauna haja ya kurudisha rimoti kwani DSTV Moto hauzimi na unaendelea kuwaka wikiendi hii kwa ligi mbali mbali kuendelea kupigwa.


Jumamosi hii macho ya wapenda soka wengi yatakuwa Wembley ambapo Tottenham Hotspur watakuwa wakiwakaribisha Liverpool katika muendelezo wa ligi ya EPL, mchezo ambao DSTV watakuonesha moja kwa moja mapemaa kutokea pale Wembley.Liverpool huwa hawaachi kutoka na walau bao moja wakikutana na Tottenham, mara ya mwisho kwa Klopp kushindwa kupenyeza mpira kwenye lango la Tot ilikuwa ni kwenye mechi yake ya kwanza zidi ya Tottenham mwaka 2015.


Hadi sasa rekodi ambayo Tottenham wanashikilia ya alama nyingi ni alama 12 baada ya michezo 15 na kama wataifunga Liverpool Jumamosi hii baasi watakuwa wameifikia.


Lakini Liverpool wenyewe wanatafuta kushinda mechi yao ya 5 mfululizo msimu huu, hii sio mara ya kwanza kwao kufanya hivi kwani 1978/1979 walifanya hivi lakini pia 1990/1991 walifanya hivi pia.


Ukichukua na mchezo wao wa mwisho msimu uli... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More