NIC Bank Tanzania yaadhimisha siku ya wanawake duniani kwa kutoa msaada katika taasisi ya saratani ocean road - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

NIC Bank Tanzania yaadhimisha siku ya wanawake duniani kwa kutoa msaada katika taasisi ya saratani ocean road


Mkurugenzi mtendaji wa Benki ya NIC Tanzania, Margaret Karume, akihojiwa na waandishi wa habari.

Afisa Ustawi wa ORCI , Malkiory Niniko akipokea msaada kutoka kwa Mkurugenzi mtendaji wa Benki ya NIC Tanzania, Margaret Karume.
Afisa Ustawi wa Taasisi ya Saratani Ocean Road, Malkiory Niniko akitoa shukrani.

wafanyakazi wakiwa katika picha ya pamoja.Benki ya NIC Tanzania yatoa msaada katika Taasisi ya Saratini ya Ocean Road(ORCI)

Dar es Salaam, 8th Machi,2019, Benki ya NIC Tanzania leo imeadhimisha siku ya wanawake duniani inayosherehekewa kote duniani tarehe 8 Machi kwa kutembelea na kutoa msaada katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road(ORCI).

Akiongea katika tukio hilo, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NIC Tanzania, Margaret Karume alisema, “Siku ya wanawake duniani ni siku kubwa katika kalenda ya wafanyakazi wa benki hii, kwa ajili ya kusaidia na kuyainua maisha ya wanawake wasiojiweza katika jamii iliyotuzunguka. Saratani ni ugonjwa ambao umeathiri na unaendelea kuathiri w... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More