Nicki Minaj amshushia onyo kali Cardi B ‘ukiendelea hivyo utauawa’ - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Nicki Minaj amshushia onyo kali Cardi B ‘ukiendelea hivyo utauawa’

Rapper wa kike nchini Marekani, Nicki Minaj ameamua kumuonya mwenzake Cardi B kwa kumwambia kuwa endapo ataendelea na tabia zake za ukorofi kama alivyomfanyia yeye wikiendi iliyopita basi atauawa mapema.


Image result for NICKI MINAJ VS CARDI bNicki Minaj

Nicki amesema hayo kwenye show yake ya Queens Radio inayosikika kupitia Apple Music’s Beats 1 jana Jumatatu, kuwa tabia ya Cardi B ni mbaya na akiendelea kuwafanyia watu wengine basi atauwa.


Unakuwa mwepesi wa kunyanyua mikono yako juu na kurusha maneno makali mbele ya watu, nadhani ukiendelea hivyo kuna baadhi ya watu watakuua, Kumbuka hilo na huu ndio ukweli hakuna utani kama huo,“amesema Nicki Minaji na kumchimba kwa undani Cardi B.


Siajawahi kuwa malaya wacheza uchi ndani ya klabu (Strippers) au malaya wanaojionesha kwenye Reality Show, fedha zangu naingiza kwa jasho langu mwenye toka kitambo.“amemaliza Nicki Minaj.


Nicki na Cardi B walirushiana maneno na nusura wazichape sikubya Ijumaa kwenye maonesho ya fasheni ya Harper’s Bazaar jijini New York, Marekan... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More