Nikki Mbishi atoa ushauri mzito kwa wasanii wa muziki ‘vunja BASATA jenga hata BAR’ - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Nikki Mbishi atoa ushauri mzito kwa wasanii wa muziki ‘vunja BASATA jenga hata BAR’

Kufuatia mabadiliko mbalimbali yaliyotangazwa na BASATA kwa wasanii wa muziki na waigizaji wa filamu nchini Tanzania, Rapper Nikki Mbishi ameibuka na ushauri kwa wasanii wa muziki.


Nikki Mbishi


Rapper Nikki Mbishi kupitia ukurasa wake wa Twitter amesema kuwa kwa sasa wasanii wa muziki watafute kazi nyingine ya kufanya kwani ya sanaa ya muziki nchini imeshakufa na hakuna namna.


Kwanza kampuni zenyewe hazitoi deals kwa wasanii directly mpaka middleman ahusike na analipwa cha udalali bado BASATA nao wanataka hapo hapo duh, wasanii tutafute cha kufanya sanaa ishakufa, chemchemi za mapato zinazidi kukauka..Ukisoma ajira hakuna,ukijiajiri vikwazo juu ya vikwazo mpaka ujasiriamali unakushinda,mbona awamu tutarudi vijijini kuchoma mkaa na Best Nasso japo Wizara ya mali asili na utalii nayo itakuja kubana tena.“amesema Nikki Mbishi na kuifungukia serikali.


Laiti Serikali ingetazama uwiano wa waajiriwa na waliojiajiri isingeweka terms kandamizi kiasi cha watu kujipiga mpaka risasi wenyew... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More