Niko Tayari kujiunga na WCB :-Young killer - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Niko Tayari kujiunga na WCB :-Young killer

Msanii ambae hivi karibuni alitanga kuwa kwa sasa amechana kuwa chii ya uongozi wa wanene Entertainment , Young killer msodoki anasema kuwa yuko tayari kufanya kazi na mtu yoyote hata kama ni WCB.


Akijibu swali aliloulizwa na mwandishi kuhusu uongizo wake wa sasa na vipi kuhusu kufanya kazi na WCB ,alisema  kuwa kwa sasa yuko tayari kufanya kazi na mtu yoyote hata kama itakuwa WCB  kwa sababu hachagui mtu wa kufanya nae kazi.


WCB ambayo imekuwa ikisaini wasanii mbalimbali hawasema chochote kuhusu kumsaini msanii huyo lakini yeye mwenyewe anasema kuwa yuko tayari kwa lolote .


Katika mahojiano na mwandishi Young Msodoki anasema ‘kuhusu kujiunga na WCB kwa sasa sijaongea nao chochote lakii kwa upande wangu niko tayari kufanya kazi na mtu yoyote,


Hii ni moja ya Lebo kubwa nchini ambayo kila mtu amekuwa tayari kutaka kufanya nayo kazi kwa sasa hapa nchini.


The post Niko Tayari kujiunga na WCB :-Young killer appeared first on Ghafla! Tanzania.... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More