Niliachana na Petit Kabla Hajachepuka na Mnyarwanda :-Esma - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Niliachana na Petit Kabla Hajachepuka na Mnyarwanda :-Esma

Mdogo wa msani Diamond Platinumz, sma platinumz amefunguka na kusema kuwa   aliachana na mume wake siku nyingi kabla hata ishu ya kuchepuka haijaanza katika mitandao ya kijamii.


Mapema wiki hii mange kimambi aliweka wazi  kuwa Petit Man ana mwanamke mwingine huko daubai mwenye asuli ya rwanda na kwamba mwanamke huyo tayari ni mjamzito .


Akiongea na Wasafi tv, Esma alisema kuwa hata ziliposambaa voice notes za mume wake huyo alikuwa tayari ameshaachana na petit na hata Petit mwenyewe alimpigia simu kumuelezea habari hizo.


Hata hivyo, Petit man pia alipoulizwa alisema kuwa kama mwanamke huyo ni mjamzito acha azae kwa sababu yeye akatai mtoto.


The post Niliachana na Petit Kabla Hajachepuka na Mnyarwanda :-Esma appeared first on Ghafla!Tanzania.


Source: Ghafla TZRead More