Nilimfundisha Diamond kuishi maisha haya anayoishi sasa hivi – Chid benz (Video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Nilimfundisha Diamond kuishi maisha haya anayoishi sasa hivi – Chid benz (Video)

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Chid benz amefunguka mengi kuhusiana na maisha anayoyaishi C.E.O wa WCB Diamond Platnumz.Chid ameongea hayo wakati anapiga stori na Bongo Five na kusema kuwa ” Maisha haya anayoishi Diamond ni ya ki-Boss sana na hivi anavyoishi nilimfundisha mimi,na nilimwambia yatamsaidia kumtatulia matatizo yake na kero zake zote”By Ally Juma.


The post Nilimfundisha Diamond kuishi maisha haya anayoishi sasa hivi – Chid benz (Video) appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More