Nilimpigia simu S2kizzy baada ya kusikia amezawadiwa gari na Rayvanny – Mr T Touchez - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Nilimpigia simu S2kizzy baada ya kusikia amezawadiwa gari na Rayvanny – Mr T Touchez

Watayarishaji wa muziki hapa nchini wamekuwa wakilalamika kutopata wanachostahili kutoka kwenye kazi za muziki wanazo zitengeneza na badala yake wasanii ndio wanaonufaika zaidi, kwa hivi sasa hali imeanza kubadilika kutokana na watayarishaji kuanza kuona mafamanikio kufuatia malipo wanayoyapata kutoka kwa wasanii hao.


Hivi karibuni mtayarishaji S2kizzy alipewa zawadi ya gari kwenye siku yake ya kuzaliwa na msanii wa WCB, Rayvanny ikiwa ni sehemu ya shukrani baada ya kumtengenezea nyimbo kadhaa zilizovuma ikiwemo ‘Tetema’ aliyofanya na Diamond Platnumz


Kufuatia tukio hilo Mtayarishaji mwingine, Mr T Touchez amesema alichokifanya Rayvanny ni funzo kubwa kwa wasanii wengine waliopo kwenye tasnia ya muziki wa kizazi kipya katika kuhakikisha wanathamini mchango wa watayarishaji (Producers)


‘’ nilimpigia Rayvanny nikamwambia umeonesha utofauti na utawafunza wasanii wengi kwamba hii kitu inatakiwa mwisho wa siku iwe hivi, kwasababu hawa watu hawapati kitu na kama huwezi kujiongeza huw... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More