Nilimuomba Dada Yangu Aniunganishe na Zabibu ;-Abdi Banda - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Nilimuomba Dada Yangu Aniunganishe na Zabibu ;-Abdi Banda

mchezaji wa mpiraAbdi banda anafunguka na kuelezea kiundani  jinsi alivyokutana na mke wake Zabibu kiba ambae ni dada wa msanii Alikiba na Abdu kiba.


Kiukweli nilikutana na mke wangu kipenzi Zabibu kupitia dada yangu, kwa kuwa alikuwa rafiki yake, nilimuomba dada yangu aniunganishe naye.Alifikisha ujumbe lakini hakuwa tayari kukubaliana naye, zilipita siku nyingi nikawa namsumbua dada yangu nikimueleza kuwa kiukweli nahitaji nimuoe.


Nakumbuka ilifika kipindi nilirudi likizo nchini Tanzania, nikamuomba dada namba ya simu ya Zabibu kisha akanipa. Siku moja nikampigia kumueleza juu ya kile ambacho kipo moyoni mwangu juu yake.
Lakini alinikatalia hapohapo na kuniambia huwa hawaelewi kabisa wacheza mpira na nafikiri alikuwa anahisi mimi namdanganya, isitoshe ni mtu ambaye amelelewa katika mazingira ya dini sana, hivyo haikuwa rahisi kwa kweli kiupande wangu lakini sikukata tamaa kwa kuwa nilikuwa nampenda kutoka moyoni.


Nikarudi Afrika Kusini na Kuendelea na kazi yangu kama kawaida, tukawa... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More