Nimewaelewa vizuri Serengeti Boys - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Nimewaelewa vizuri Serengeti Boys

Baada ya kichapo cha mabao 5-0 kutoka kwa Uturuki katika mchezo wa mashindano maalumu kwa vijana wenye umri chini ya miaka 17 yaitwayo ‘UEFA Assists’, vijana wawili wa timu ya Tanzania ya umri huo ‘Serengeti Boys’ walijirekodi video wakitoa maoni yao juu ya kipigo hicho.


Source: MwanaspotiRead More