Ninaamini Mchawi Mkubwa ni Mungu Pekee.;-Steve Nyerere - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ninaamini Mchawi Mkubwa ni Mungu Pekee.;-Steve Nyerere

Msanii wa filamu nchini Steve Nyerere amefunguka na kusemakuwa wasichana wengi wamekuwa wakiamini kuwa kila unapotaka mafanikio basi njia rahisi ya kutusua ni kwenda kwa mganga kwa ajili ya kupata mafanikio wanayoyatafuta.


ninachoamini kuwa mchawi mkubwa ni Mungu pekee na kama utamwamini yeye basi unaweza kuushinda hata huo uchawi wenyewe,  na unaweza kuwasaidia wajinga wachache lakini mimi naamini kuwa ukimwamini Mungu utafanikiwa.


Mungu hana mwisho lakini uchawi una mwisho, na kama ukipiga magoti na ukamlilia basi unaweza kutusua kila kitu.


Steve anasema hayo alipokuwa akiongea na mtandao wa clouds na kusema kuwa kuna watu wengi wamekuwa wakitawaliwa na mambo ya ushirikiana kiasi kwamba hawawezi kufanya jambo lolote hata kama ni la kimaendeleo mpaka wamwambie kwanza mganga wao.


 


The post Ninaamini Mchawi Mkubwa ni Mungu Pekee.;-Steve Nyerere appeared first on Ghafla!Tanzania.... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More