Ninja afuzu vipimo vya afya Marekani aanza mazoezi Gym - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ninja afuzu vipimo vya afya Marekani aanza mazoezi Gym

Beki wa kitaifa wa Tanzania, Abdallah Shaibu 'Ninja' ameanza mazoezi ya gym baada ya kuonyeshwa viwanja vya mazoezi na mechi na baadhi ya maeneo muhimu katika klabu yake mpya ya LA Galaxy, Marekani.


Source: MwanaspotiRead More