Ninja presha tupu Simba - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ninja presha tupu Simba

Ninja aliliambia Mwanaspoti ndoto kubwa baada ya kusaini Yanga msimu huu wa 2018/19 ilikuwa ni kuvaa medali za kwenda kucheza kimataifa, akidai kila anapopiga mahesabu kwa sasa anaona magumu, hivyo anabakia kuwaombea Simba wapoteze mechi zao ili wao wachukue nafasi.


Source: MwanaspotiRead More