Ninja wa Yanga kafungiwa na TFF - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ninja wa Yanga kafungiwa na TFF

Kamati ya Nidhamu ya TFF, imemtia hatiani mchezaji wa Young Africans Abdallah Shaibu kwa kosa la kumpiga kiwiko mchezaji wa timu ya Coastal Union, Kamati imempa adhabu ya kufungiwa kutocheza mechi tatu mfululizo/zinazofuatana kwa mujibu wa kifungu cha 48(1)(d) cha Kanuni za Nidhamu TFF.


Haki ya kukata rufaa iko waziSource: Shaffih DaudaRead More