Ninje apewa shavu jingine TFF - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ninje apewa shavu jingine TFF

KOCHA Ammy Ninje ameula baada ya kuteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), huku nafasi ya Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya shirikisho hilo iliyoachwa wazi na Revocatus Kuuli ikipata mrithi.


Source: MwanaspotiRead More