“Nitahamia ligi ya Uhispania ili nishide tuzo ya Ballon d’Or” – Hazard - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

“Nitahamia ligi ya Uhispania ili nishide tuzo ya Ballon d’Or” – Hazard

Mchezaji wa klabu ya Chelsea na timu ya taifa ya Ubelgiji Eden Hazard, anaendelea kuwaweka roho juu mashabiki wa klabu ya Chelsea baada ya kueleza matakwa yake ya kutaka kuhamia ligi ya Uhispania Laliga.



Mchezaji huyo ameongea hayo wakati akiongea na Skysport akijibu baadhi ya maswali aliyoulizwa na kueleza nia yake yote jinsi anavyojichukulia yeye mwenyewe.


Hazard pia aliongeza baada ya kuulizwa wewe ni mchezaji bora duniani kwa sasa ? alijibu ” Ndio mbona nilishaongea kipindi cha nyuma ila naongea tena”



Baada ya kuulizwa kuwa “Kushinda tuzo ya mchezaji bora duniani Ballon d’Or kwa kipindi cha miaka 10 iliyopita ni lazima ucheze ligi ya Uhispania” Hazard alijibu ” Labda ndio maana nataka kuhamia huko” akaulizwa muda wa kwenda huko “Utaenda mwezi januari ?” akajibu “Hapana”



Lakini pia hakuishia hapo baada ya kuulizwa kuhusiana na kiwango chake “Je utaendelea kuonyesha uwezo mkubwa uwanjani ? alijibu ” Kila mara uwezo wa kufunga na kutoa msaada wa magoli uta... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More