Niyonzima azua taharuki Simba - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Niyonzima azua taharuki Simba

KIUNGO wa Simba Haruna Niyonzima amezua taharuki na hali ya sintofahamu kwa mashabiki na wapenzi wa klabu hiyo baada ya kutoonekana jana katika tamasha kubwa la ‘Simba Day’ ambalo mara nyingi hutumika kama jukwaa la kutambulisha kikosi kuelekea msimu mpya wa ligi kuu. Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea). Katika tamasha hilo klabu ya Simba iliweka ...


Source: MwanahalisiRead More