Niyonzima naye ndani CAF - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Niyonzima naye ndani CAF

Wakati jina la Niyonzima likitumwa CAF, majina ya washambuliaji wawili Marcel Kaheza na Mohamed Rashid yamewekwa pembeni ambapo sasa watalazimika kupambania namba kwa ajili ya mechi za Ligi Kuu Tanzania  bara.


Source: MwanaspotiRead More