Njia Bora Ya Kushinda Tamaa, Kuondokana Na Ulevi Na Kujijengea Subira Kwenye Maisha Yako. - Hisia za Mwananchi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Njia Bora Ya Kushinda Tamaa, Kuondokana Na Ulevi Na Kujijengea Subira Kwenye Maisha Yako.

Rafiki yangu mpendwa, Waswahili wanasema subira yavuta heri, kwamba yeyote mwenye uwezo wa kusubiri basi atapata kile kilicho bora. Lakini kwa maisha tunayoishi zama hizi, subira imekuwa kitu adimu sana. Kila mtu anataka kitu na anakitaka sasa. Asipokipata atatafuta kila aina ya njia ya mkato ya kupata, na pale njia hizo zinaposhindwa basi anaishia kulalamika... Continue Reading →


Source: Hisia za MwananchiRead More