Njia Mbili Za Kujifunza Kupitia Wengine Ili Uweze Kufanikiwa Zaidi. - Hisia za Mwananchi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Njia Mbili Za Kujifunza Kupitia Wengine Ili Uweze Kufanikiwa Zaidi.

Rafiki yangu mpendwa, Upo usemi kwamba mafanikio ya mtu kwenye maisha ni wastani wa mafanikio ya wale watu watatu wanaomzunguka, anaotumia muda mwingi kuwa nao. Hatuwezi kufanikiwa kuliko wale waliotuzunguka, hivyo hawa ni watu ambao tunapaswa kuwa nao makini sana. Ukizungukwa na watu waliofanikiwa au wanaotaka kufanikiwa zaidi, utaweza kupiga hatua kama wao. Lakini kama... Continue Reading →


Source: Hisia za MwananchiRead More