Njia Tano Za Kushinda Hisia Za Wivu Na Kuweza Kufikia Mafanikio Makubwa Sana Bila Ya Kujali Wengine Wanafanya Nini. - Hisia za Mwananchi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Njia Tano Za Kushinda Hisia Za Wivu Na Kuweza Kufikia Mafanikio Makubwa Sana Bila Ya Kujali Wengine Wanafanya Nini.

Rafiki yangu mpendwa, Tuwe tu wakweli, huwa unajisikiaje pale unapokutana na mtu ambaye mlijuana siku za nyuma, mlikuwa sawa wote, lakini sasa amepiga hatua sana kuliko wewe? Labda ni mtu mlisoma naye, na darasani wala hakuwa na uwezo mkubwa sana, lakini sasa hivi amepiga hatua sana kuliko wewe. Au hata ni mdogo wako, ambaye hakuna... Continue Reading →


Source: Hisia za MwananchiRead More