NMB TAWI LA MIRERANI WAZINDUA MIKOPO YA AFYA LOAN - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

NMB TAWI LA MIRERANI WAZINDUA MIKOPO YA AFYA LOAN

Meneja wa benki ya NMB Tawi la Mirerani Allan Kombe (katikati) na wadau na watumishi wa benki hiyo wakiwa kwenye picha ya pamoja kwenye tafrija ya wiki ya huduma kwa wateja.
Watumishi wa benki ya NMB Tawi la Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wakiwa kwenye maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja.
Meneja wa benki ya NMB Tawi la Mirerani, Allan Kombe (kushoto) akiwa na wadau na watumishi wa benki hiyo kwenye tafrija ya wiki ya huduma kwa wateja.

*******************************
Na mwandishi wetu, Mirerani .

Wafanyakazi wa benki ya NMB Tawi la Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wamezindua wiki ya huduma kwa wateja kwa kutangaza mpango mpya wa mikopo ya ‘Afya Loan’. 

Meneja wa NMB Tawi la Mirerani, Allan Kombe akizungumza na wadau na wafanyakazi wa benki hiyo kwenye tafrija ya wiki hiyo alisema Afya Loan ni huduma mpya maalum ya mikopo kwa watu au taasisi binafsi. 

Kombe alisema Afya Loan ina lengo la kuwakopesha wadau binafsi wenye maduka ya dawa, maabara... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More