Nondo aibua kikwazo mikopo Chuo Kikuu - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Nondo aibua kikwazo mikopo Chuo Kikuu

MWENYEKITI wa Mtandao wa Wanafunzi Nchini (TSNP), Abdul Nondo amekitaja kikwazo kingine kwenye mikopo ya wanafunzi wa vyuo vikuu ni Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini Rita. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Nondo akizungumza na MwanaHALISI Online amesema kuwa Rita wamekuwa kikwazo kwa mikopo ya wanafunzi kutokana na kuchelewesha kuhakiki taarifa za vyeti vya kuzaliwa ...


Source: MwanahalisiRead More