Notisave: Njia ya kudownload Status za WhatsApp kwa urahisi! #Android #Maujanja - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Notisave: Njia ya kudownload Status za WhatsApp kwa urahisi! #Android #Maujanja

Notisave ni app ambayo ina uwezo wa kufanya mambo mengi, lakini moja ya kitu muhimu sana unachoweza kuitumia app hii kufanikisha ni kuweza kudownload na kuhifadhi (save) WhatsApp Status za mtu yeyote bila yeye kufahamu. Notisave ni app inayokuwezesha kupunguza idadi ya taarifa fupi (notifications) zinazotokea kwenye eneo la juu la simu yako, app hii [...]


The post Notisave: Njia ya kudownload Status za WhatsApp kwa urahisi! #Android #Maujanja appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More