NSSF FUATENI WANANCHI WALIPO MSIWANGOJE WAJE OFISINI KUJIUNGA - RC KIGOMA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

NSSF FUATENI WANANCHI WALIPO MSIWANGOJE WAJE OFISINI KUJIUNGA - RC KIGOMA

WATENDAJI wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii(NSSF) wametakiwa kwenda walipo wananchi ambao hawako katika sekta isiyo rasmi ili wawaze kutoa elimu ambayo itawezesha kujiunga na hatimaye wanufaike na mafao mbalimbali yanayotolewa na Mfuko huo.  Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brigedia Jenerali mstaafu Emmanuel Maganga mara baada ya kutembelea banda la NSSF wakati wa kilele cha maonesho ya nane nane kwa kanda ya Magharibi yalifanyika mjini Tabora.  Alisema mpango huo unachama wa hiari na sekta binafsi unatakiwa kuwafikia wananchi wengi ambao wamejiari wenyewe ili nao wajiunge kwa ajili ya kujiwekea akiba ya uzeeni kupitia michango ambayo watakuwa wakichangia kila mwezi wakati wakiwa na nguvu.  Brigedia Jenerali mstaafu Emmanuel Maganga alisema jambo hilo ni zuri kwani tangu Tanzania ipate uhuru wake mwaka 1961 hakuna Mfuko ambapo uliweza kumjali mtu asiye katika sekta isiyo rasmi na kuongeza kuwa ni jukumu la Watumishi wa NSSF kwenda kwao ili wawahimize waweze kuc... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More