Nuh Mziwanda Hawezi Kunitunza :-Amber Lulu. - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Nuh Mziwanda Hawezi Kunitunza :-Amber Lulu.

Mwanadada Amber lulu  amefunguka nan kukanusha tetesi zinazondelea juu yake kuhusu mahusiano yake na msanii mwenzake Nuh mziwanda ambae hapo awali aliwahi kuwa na mahusiano na mwanadada shilole.


Amber Lulu anasema kuwa hakuna ukweli wowote kuhusu swala hilo na kusema kuwa hakuna kitu kama icho kinaweza kutokea kwa sababu hata familia yake inaweza kumshangaa kwa hilo.


Amber Lulu anasema kuwa sababu kubwa mabayo inamfanya aseme hawezi kuwa na mahusiano na Nuh Mziwanda ni kwa sababu hana pesa za kuweza kumtunza yeye na hata ndugu zake wakisiskia hivyo wanaweza kumshangaaa.


 


The post Nuh Mziwanda Hawezi Kunitunza :-Amber Lulu. appeared first on Ghafla!Tanzania.


Source: Ghafla TZRead More