Nusu fainali Djokovic na Nadal yaahirishwa huku Djokovic akiwa kifua mbele - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Nusu fainali Djokovic na Nadal yaahirishwa huku Djokovic akiwa kifua mbele

Kati ya mchezo ambao ulimwengu mzima uliusubiri kwa hamu ni hii nusu fainali ya Wimbledon kati Rafael Nadal na Novac Djokovic ambayo hii leo imepigwa lakini ikashindikana kamalizika.


Mechi hii ilishindwa kumalizika kutoka na makubaliano ya wamiliki wa uwanja ambao hawaruhusu michezo kuendelea kuchezwa baada ya muda wa saa tano usiku.


Kilichopelekea mchezo huu kuchelewa kuanza ni nusu fainali nyingine kati ya Kevin Anderson wa Afrika kusini aliyekuwa akimenyana na John Isner ambapo mchezo huo ulipigwa kwa masaa sita na ndipo Nadal na Djokovic ikawabidi kusubiri uishe.


Lakini hata hivyo Nadal na Djokovic walicheza nusu fainali yao kwa muda wa masaa mawili na dakika 43 ambapo katika muda huo Djokovic alimaliza akiwa kifua mbele kwa ushidi wa seti 6-4, 3-6, 7-6.


Katika seti ya kwanza Djokovic alionekana kummudu Nadal na kumaliza kwa kushinda seti hiyo kabla ya Nadal kujibu mapigo katoka seti ya pili kwa 3-6, na kisha seti ya tatu ambayo ilionekana ngumu sana ilimalizika kwa Djokovic kushin... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More