Nuttal, Morocco watajwa kurithi ukocha AFC Leopards - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Nuttal, Morocco watajwa kurithi ukocha AFC Leopards

Nairobi, Kenya. Kocha wa zamani wa mabingwa mara 17 wa KPL, Gor Mahia, Mskochi Frank Nuttal, pamoja na Mtanzania, kutoka visiwa vya Zanzibar, Hemed ‘Morocco’ Suleiman ni baadhi ya wakufunzi wanaotajwa katika mbio za kurithi mikoba ya Muargentina Rodolfo Zapata aliyetimuliwa katika klabu ya AFC Leopards.


Source: MwanaspotiRead More