Nyamayao anapata tabu sana - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Nyamayao anapata tabu sana

UNAMKUMBUKA Nyamayao, yule mwigizaji aliyetamba sana enzi za Kaole Sanaa hasa kwa michezo ya kwenye runinga? Kumbe kwa sasa yupo China akiendelea na shughuli zake za sanaa na anakiri amekuwa akitapa tabu kila akikumbuka Tanzania.


Source: MwanaspotiRead More