Nyie! Mwenye nyumba karudi kileleni - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Nyie! Mwenye nyumba karudi kileleni

YANGA wamerudi kileleni baada ya matokeo ya jana Jumanne kuifunga Ruvu Shooting bao 1-0 hivyo, kuishusha Simba kwa pointi moja. Ushindi huo ni wa kwanza tangu Yanga ipate viongozi wapya wakiongozwa na Mwenyekiti, Dk Mshindo Msolla na makamu wake Fredrick Mwakalebela, ambaye alikuwa jukwaani akishuhudia mtanange mzima.


Source: MwanaspotiRead More