Nyie watu mmemsikia kocha wa Chelsea anavyojitapa lakini? - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Nyie watu mmemsikia kocha wa Chelsea anavyojitapa lakini?

CHELSEA haijafungwa mechi yoyote kwenye Ligi Kuu England msimu huu. Imeshinda mechi sita na kutoka sare mbili kwenye mechi nane ilizocheza, imekusanya pointi 20 na imekabana koo na Manchester City na Liverpool kileleni mwa msimamo wa ligi hiyo, ikitofautiana kwa mabao ya kufunga na kufungwa tu.


Source: MwanaspotiRead More