NYONGO AAGIZA AFISA MADINI,WATENDAJI,KUSIMAMIA UFUNGAJI NA UFUNGUAJI WA MADINI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

NYONGO AAGIZA AFISA MADINI,WATENDAJI,KUSIMAMIA UFUNGAJI NA UFUNGUAJI WA MADINI


Na Greyson Mwase, Katavi

Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo ameagiza Kaimu Afisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Katavi, Mhandisi Giliard Luyoka, Mkuu wa Wilaya ya Mpanda, Afisa Usalama wa Wilaya, na Mwakilishi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuhakikisha wanakuwepo wakati wa ufungaji na ufunguaji wa lakiri (seal) kwenye madini ya dhahabu ili kudhibiti utoroshwaji wa madini kwenye migodi.

Ameyasema hayo leo tarehe 09 Oktoba, 2018 mara baada ya kumaliza ziara yake katika Mgodi Dhahabu wa Katavi & Kapufi uliopo katika eneo la Singililwa Wilayani Mpanda mkoani Katavi ikiwa ni sehemu ya ziara yake katika mkoa huo yenye lengo la kukagua shughuli za uchimbaji wa madini, kusikiliza na kutatua kero za wachimbaji wa madini.

Katika ziara yake Nyongo aliambatana na Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika, Salehe Mhando, Mwenyekiti wa Chama cha Wachimbaji wa Madini Mkoa wa Katavi (KATAREMA), William Mbongo, Kaimu Afisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Katavi, Mhandisi Giliard Luyoka, Wata... Continue reading ->Source: Issa MichuziRead More