NYONGO ASHUHUDIA JIWE LA ALMASI LA UZITO WA “CT” 512.15 LIKIUZWA KWA BILION 3, 262, 149, 332 - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

NYONGO ASHUHUDIA JIWE LA ALMASI LA UZITO WA “CT” 512.15 LIKIUZWA KWA BILION 3, 262, 149, 332

Naibu waziri wa Madini Stanslaus Nyongo akionyesha jiwe la madini ya Almasi lenye uzito wa “ct” 512.15 leneye thamani Tsh. Bilion 3, 262, 149, 332.75 mali ya mchimbaji mdogo bwana Joseph mkazi wa Shinyanga. Kushoto kwake ni Kamishna wa Madini Prof. Mruma na kulia kwake ni Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Jasinta Mboneko. Kamishna wa Tume ya Madini Prof. Mruma akimuonyesha jambo Naibu Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo jiwe la madini ya Almasi lenye uzito wa “ct” 512.15 leneye thamani Tsh. Bilion 3, 262, 149, 332.75 wakati wa mauzo yake yaliyofanyika katika soko la Madini la mkoa wa Shinyanga. Bi. Dorcas Moshi, Mchambuzi na Mthamini wa Madini ya Vito na Almasi kutoka tume ya Madini akiifunga rasmi Almasi ya Josephy Temela mara baada ya kukamilika kwa taratibu za uthaminishaji na kupata ghara halisi huku ikishuhudiwa na Naibu Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo mwenye suti ya Blue. Bw. Joseph Temba mchimbaji mdogo ambae ameuza jiwe lake la madini ya Almasi lenye uzito wa “ct” 5... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More