Nyota wa Simba awatuliza mashabiki Biashara Utd - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Nyota wa Simba awatuliza mashabiki Biashara Utd

STRAIKA wa Biashara United,Uhuru Suleiman ambaye amewahi kuitumikia klabu ya Simba, ameangalia mwenendo wa timu yao katika Ligi Kuu na kusema kuwa ugeni kwa viongozi na wachezaji katika michuano hiyo ndio inawatesa kwa sasa na kuwatoa hofu mashabiki kuwa mambo yatakaa sawa.


Source: MwanaspotiRead More