Nyuma ya Pazia: Frank Lampard tukutane Desemba 25 - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Nyuma ya Pazia: Frank Lampard tukutane Desemba 25

Hatimaye Waingereza wameitengeneza ndoto ya Frank Lampard kuwa kocha wa Chelsea. Sijui aliyeamua hivi ni tajiri, Roman Abramovich peke yake au wale wazee  wahifadhina wa Chelsea lakini ndio hivyo, tayari Frank Lampard amekuwa kocha wa Chelsea.


Source: MwanaspotiRead More