OCD Kyerwa ashushwa cheo,ahamisishwa - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

OCD Kyerwa ashushwa cheo,ahamisishwa

Timu ya Uchunguzi ya wasindikizaji wa Kahawa ya magendo yaundwaNa Chalila Kibuda, Globu ya JamiiJESHI la Polisi Nchini limetuma kikosi cha uchunguzi kufatilia tuhuma za askari waliokuwa wakisindika Kahawa ya Magendo wilayani Kyerwa mkoani Kagera.
Uchunguzi huo unatokana na kauli ya Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa ya kutaka kufanyika uchunguzi kwa askari hao waliohusika kusindikiza Kahawa ya magendo.
Akizungumza na waandishi habari Jijini Dar es Salaam Msemaji wa Jeshi la Polisi Barnabas Mwakalukwa amesema katika uchunguzi huo aliyekuwa Kamanda wa Polisi Wilaya ya Kyerwa (OCD) Justine Joseph ameshushwa cheo pamoja na kuhamishwa katika Kituo cha kazi.
Amesema aliyekuwa OCD wa Wilaya Kyerwa Justine Joseph amehamishiwa mkoani Iringa na kuwa chini ya uangalizi wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa.
Amesema uchunguzi huo ukikamilika watatoa  majibu kwa wale  waliohusika na tuhuma za usindikizaji wa Kahawa ya magendo.
Aidha amesema kuwa wakati Polisi  wanafanya operesheni wananchi wanatakiwa kutii a... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More