OFISA MTENDAJI MKUU DAWASA MHANDISI LUHEMEJA AANZA KAZI KWA KISHINDO - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

OFISA MTENDAJI MKUU DAWASA MHANDISI LUHEMEJA AANZA KAZI KWA KISHINDO

Na Ripota Wetu,Globu ya jamiiOFISA Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Cyprian Luhemeja ametembelea mradi wa maji wa Chalinze ili kujionea maendeleo ya mradi na kupanga utaratibu wa kuongeza kasi ya ujenzi.Ametembelea mradi huo ikiwa ni siku yake ya nne tangu kutangazwa rasmi  Septemba  8 mwaka,  amefanya maamuzi ya kuongeza nguvu katika usimamizi na kutaka mkandarasi wa  Kampuni ya OIA ya India kutekeleza kazi usiku na mchana ili kuleta matokeo yanayotarajiwa.Akizungumzia mradi huo Mhandisi  Luhemeja amesema mradi utazinduliwa Desemba mwaka 2018. 
Leo pia anaendelea na ziara katika miradi ya usambazaji maji.... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More