OFISI YA RAIS TAMISEMI WASHIRIKI MAONESHO YA NANENANE SIMIYU - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

OFISI YA RAIS TAMISEMI WASHIRIKI MAONESHO YA NANENANE SIMIYU

Bwana Giovanni Di Piazza kutoka mradi wa uimarishaji wa mifumo ya Sekta za Umma PS3 ambao ni wadau wa maendeleo katika uimarishaji wa mifumo akitoa elimu kwa mwananchi wakati wa maonesho ya Nane Nane 2018 juu ya Mfumo wa tovuti za Serikali (GWF) mkoani Simiyu (Picha zote na Atley Kuni wa OR TAMISEMI)Bwana Robert Kwikolela, Mkurugenzi Msaidizi kutoka Idara ya Tume ya Utumishi wa Walimu OR TAMISEMI, akitoa ufafanuzi wa mambo wakati wa maonesho ya Nane Nane 2018 mkoani Simiyu.Mwananchi akitaka ufafanuzi wa juu wa mfumo wa taarifa za shule (SIS), kutoka kwa Coster Massawe wakati wa maonesho ya Nane Nane yanayo endelea mkoani Simiyu.Bwana Innocent Mrema akiwa anatoa Elimu kwa wananchi kuhusu mifumo mbali mbali inayosimamiwa na Ofisi ya Rais TAMISEMI, kwenye Maonesho ya Nane Nane mkoani Simiyu 2018Copyright 2007-2017 @KAJUNASON BLOG... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More