OFISI YA TAKWIMU ZANZIBAR YATOA TAKWIMU ZA AJALI NA MAKOSA YA BARABARANI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

OFISI YA TAKWIMU ZANZIBAR YATOA TAKWIMU ZA AJALI NA MAKOSA YA BARABARANI

Polisi Trafiki kutoka makao Makuu ya Zanzibar CPL. Said Ali Said akitoa maelezo kuhusu ajali zinazotokea barabarani katika mkuta wa kutoa elimu kwa wandishi wa habari.Baadhi ya wandishi wa habari na wakifuatilia tarifa ya takwimu za ajali na makosa ya barabarani zilizotolewa na Mtakwimu kutoka Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Asha Mussa.Mwanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Salim Abdulla Salim akichangia kitu katika Mkutano huo wa takwimu za ajali na makosa ya barabarani.Picha na Makame Mshenga.

Na Mwashungi Tahir,Maelezo
Elimu inahitajika zaidi kutolewa kwa jamii ili kupunguza ajali za barabarani na kutambua makosa ya barabarani ambayo hujitokeza mara kwa mara na kusababisha athari .
Hayo ameyasema Koplo Ali Abdullah Juma Polisi Trafic kutoka Makao Makuu huko katika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Mazizini wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu makosa ya barabarani .
Amesema lengo la kutolewa elimu hiyo kwa jamii ni kuona ajali zinapungua kila tukienda mb... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More