OFISI YA WAZIRI MKUU YAINGIA MAKUBALIANO YA AWALI NA MFUKO WA KIMATAIFA WA MAENDELEO YA KILIMO –IFAD - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

OFISI YA WAZIRI MKUU YAINGIA MAKUBALIANO YA AWALI NA MFUKO WA KIMATAIFA WA MAENDELEO YA KILIMO –IFAD

 Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Uwekezaji) Bi. Dorothy Mwaluko pamoja na Mkurugenzi wa Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo, IFAD kwa nchi za Tanzania na Rwanda Bw. Francesco Rispoli wakiweka saini ya mkataba wa Makubaliano ya Awali ya Programu ya Kuendeleza Sekta ya Uvuvi na Uzalishaji wa Mbegu Bora za Mazao ya Kilimo.Mikataba hiyo imesainiwa Oktoba 11, 2019 katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu Dodoma. Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Uwekezaji) Bi. Dorothy Mwaluko akimkabidhi Mkurugenzi wa Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo, IFAD kwa nchi za Tanzania na Rwanda Bw. Francesco Rispoli nakala ya mkataba wa Makubaliano ya Awali ya Programu ya Kuendeleza Sekta ya Uvuvi na Uzalishaji wa Mbegu Bora za Mazao ya Kilimo mara baada ya zoezi la uwekaji saini mkataba huo, Mikataba hiyo imesainiwa Oktoba 11, 2019 katika Ofisi ya Waziri Mkuu Dodoma. Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Uwekezaji) Bi. Dorothy Mwaluko akiz... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More