OKOA MTOTO WA KIKE,OKOA JAMII - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

OKOA MTOTO WA KIKE,OKOA JAMII


Katika maeneo mengi ya Tanzania bado kumekuwa na vitendo vya unyanyasaji na ukatili wa kijinsia ambapo wasichana wengi wamekuwa wakiolewa katika umri mdogo, wengine wakibakwa na wengine kupata ujauzito huku wakiwa bado wanafunzi. 
Hili ni janga kubwa lakini bado wasanii wengi wamekuwa wakilikaushia, ila kwa ujasiri na kuthubutu, mabinti hawa wameamua KUSEMA na kulizungumzia. Wimbo ambao umezalishwa na Tanzania Bora Initiative na Producer Mocco Genius na video kufanywa na Hascana.  Okoa mtoto wa kike, okoa jamii.... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More