OLE SENDEKA AAGIZA UTEKELEZAJI KAMPENI YA JIONGEZE TUWAVUSHE SALAMA MKOANI NJOMBE - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

OLE SENDEKA AAGIZA UTEKELEZAJI KAMPENI YA JIONGEZE TUWAVUSHE SALAMA MKOANI NJOMBE

 Mary Sapali, Mratibu Wa Damu Salama Kanda ya Nyanda za Juu Kusini akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Jiongeze Tuwavushe Salama mkoani Njombe.Dionisia Simime, Mratibu Wa Damu Salama Halmashauri ya wilaya ya Njombe akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Jiongeze Tuwavushe Salama mkoani Njombe.  Dkt.Bumi Mwamasage, Mganga mkuu Wa mkoa Wa Njombe akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Jiongeze Tuwavushe Salama mkoani Njombe. Mhe. Christopher Ole Sendeka, Mkuu Wa mkoa wa Njombe, wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Jiongeze Tuwavushe Salama.
Na. Vero Ignatus.
Kampeni ya 'Jiongeze Tuwavushe Salama' imezinduliwa mkoani Njombe, ambapo Mkuu wa Mkoa huo, Mhe. Christopher Ole Sendeka amewataka watendaji kufanya kila wawezalo kuhakikisha kampeni hiyo inaleta tija kwa kupunguza vifo vya mama wajawazito na watoto wachanga pindi wanapozaliwa.
Kuzinduliwa kwa kampeni hiyo ni sehemu ya utekelezaji wa agizo la Serikali kwa wakuu wote wa mikoa nchini katika kuhakikisha vifo ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More