Olunga: Tunaiheshimu Ethiopia, hatuwezi kufanya makosa - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Olunga: Tunaiheshimu Ethiopia, hatuwezi kufanya makosa

Harambee Stars inaongoza Kundi F, ikiwa na pointi nne, na endapo itashinda mchezo wa Jumapili, itakuwa ni nafasi nzuri ya kuanza kuota ndoto za kuelekea Cameroon, kushiriki Kombe la Mataifa ya Afrika kwa mara ya kwanza baada ya miaka 14.


Source: MwanaspotiRead More